1 TIM. 4
Kujinyima Kusikofaa
1 tBasi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; 3 twakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli. 4 tKwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;
5 kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.Mtumishi Mwema wa Yesu Kristo
6 Uwakumbushe ndugu mambo hayo, nawe utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, na mzoevu wa maneno ya imani, na mafundisho mazuri yale uliyoyafuata. 7 tBali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa.
8 tKwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye.
9 tNi neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa;
10 tkwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa waaminio.
11 Mambo hayo uyaagize na kuyafundisha. 12 tMtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. 13 Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma na kuonya na kufundisha. 14 tUsiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee. 15 Uyatafakari hayo; ukae katika hayo; ili kuendelea kwako kuwe dhahiri kwa watu wote. 16 tJitunze nafsi yako, na mafundisho yako. Dumu katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo utajiokoa nafsi yako na wale wakusikiao pia.
1 TIMOTHY 4
People Will Turn from //Their Faith
1 God's Spirit clearly says that in the last days many people will turn from their faith. They will be fooled by evil spirits and by teachings that come from demons. 2 They will also be fooled by the false claims of liars whose consciences have lost all feeling. These liars 3 will forbid people to marry or to eat certain foods. But God created these foods to be eaten with thankful hearts by his followers who know the truth. 4 Everything God created is good. And if you give thanks, you may eat anything.
5 What God has said and your prayer will make it fit to eat.Paul's Advice to Timothy
6 If you teach these things to other followers, you will be a good servant of Christ Jesus. You will show you have grown up on the teachings about our faith and on the good instructions you have obeyed. 7 Don't have anything to do with worthless, senseless stories. Work hard to be truly religious.
8-9 As the saying goes,
“Exercise is good
for your body,
but religion helps you
in every way.
It promises life
now and forever.”
These words are worthwhile and should not be forgotten.
10 We have put our hope in the living God, who is the Savior of everyone, but especially of those who have faith. This is why we work and struggle so hard.t
11 Teach these things and tell everyone to do what you say.
12 Don't let anyone make fun of you, just because you are young. Set an example for other followers by what you say and do, as well as by your love, faith, and purity.
13 Until I arrive, be sure to keep on reading the Scriptures in worship, and don't stop preaching and teaching. 14 Use the gift you were given when the prophets spoke and the group of church leaderst blessed you by placing their hands on you. 15 Remember these things and think about them, so everyone can see how well you are doing. 16 Be careful about the way you live and about what you teach. Keep on doing this, and you will save not only yourself, but the people who hear you.