EFE. 3
Huduma ya Paulo kwa Mataifa
1 tKwa sababu hiyo mimi Paulo ni mfungwa wake Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi Mataifa; 2 tikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu; 3 tya kwamba kwa kufunuliwa nalijulishwa siri hiyo, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache. 4 tKwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo. 5 Siri hiyo hawakujulishwa wanadamu katika vizazi vingine; kama walivyofunuliwa mitume wake watakatifu na manabii zamani hizi katika Roho; 6 tya kwamba Mataifa ni warithi pamoja nasi wa urithi mmoja, na wa mwili mmoja, na washiriki pamoja nasi wa ahadi yake iliyo katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili; 7 tInjili hiyo ambayo nalifanywa mhudumu wake, kwa kadiri ya kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa kadiri ya utendaji wa uweza wake. 8 tMimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote, nalipewa neema hii ya kuwahubiri Mataifa utajiri wake Kristo usiopimika; 9 tna kuwaangaza watu wote wajue habari za madaraka ya siri hiyo, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote; 10 tili sasa, kwa njia ya kanisa, hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi ijulikane na falme na mamlaka katika ulimwengu wa roho; 11 tkwa kadiri ya kusudi la milele alilolikusudia katika Kristo Yesu Bwana wetu. 12 tKatika yeye tunao ujasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya kumwamini.
13 tBasi naomba msikate tamaa kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, zilizo utukufu kwenu.Ombi kwa Wasomaji
14 Kwa hiyo nampigia Baba magoti, 15 ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa, 16 tawajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani. 17 tKristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo; 18 tili mpate kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, na urefu, na kimo, na kina;
19 tna kuujua upendo wake Kristo, upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi, mpate kutimilika kwa utimilifu wote wa Mungu.
20 tBasi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; 21 naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
EPHESIANS 3
Paul's Mission to //the Gentiles
1 Christ Jesus made me his prisoner, so I could help you Gentiles. 2 You have surely heard about God's gift of undeserved grace in choosing me to help you. 3 In fact, this letter tells you a little about how God has shown me his mysterious ways. 4 t As you read the letter, you will also find out how well I really do understand the mystery about Christ. 5 No one knew about this mystery until God's Spirit told it to his holy apostles and prophets.
6 And the mystery is this: Because of Christ Jesus, the good news has given the Gentiles a share in the promises God gave to the Jews. God has also let the Gentiles be part of the same body.
7 God treated me with kindness. His power worked in me, and it became my job to spread the good news. 8 I am the least important of all God's people. But God was kind and chose me to tell the Gentiles that because of Christ there are blessings that cannot be measured. 9 t God, who created everything, wanted me to help everyone understand the mysterious plan that had always been hidden in his mind.
10 Then God would use the church to show the powers and authorities in the spiritual world that he has many different kinds of wisdom.
11 God did this according to his eternal plan. And he was able to do what he had planned because of all Christ Jesus our Lord had done. 12 Christ now gives us courage and confidence, so we can come to God by faith.
13 This is why you should not be discouraged when I suffer for you. After all, it will bring honor to you.Christ's Love for Us
14 I kneel in prayer to the Father. 15 All beings in heaven and on earth receive their life from him.t 16 God is wonderful and glorious. I pray that his Spirit will make you become strong followers 17 and that Christ will live in your hearts because of your faith. Stand firm and be deeply rooted in his love. 18 t I pray that you and all God's people will understand what is called wide or long or high or deep.t
19 I want you to know all about Christ's love, although it is too wonderful to be measured. Then your lives will be filled with all that God is.
20-21 I pray that Christ Jesus and the church will forever bring praise to God. His power at work in us can do far more than we dare ask or imagine. Amen.