-
Isaya 52:12
Isaya 52:12 (HNV)
Safari hii hamtatoka kwa haraka, wala hamtaondoka mbiombio! Maana Mwenyezi-Mungu atawatangulieni, Mungu wa Israeli atawalinda kutoka nyuma.Created 2 months ago
-
Isaya 1:5
Isaya 1:5 (HNV)
Kwa nini huachi uasi wako? Mbona wataka kuadhibiwa bado? Kichwa chote ni majeraha matupu, na moyo wote unaugua!Created 2 months ago
Labels: red
-
U-EKSODUSI 23:15
U-EKSODUSI 23:15 (ZUL59)
“Uzakugcina umkhosi wesinkwa esingenamvubelo, udle isinkwa esingenamvubelo izinsuku eziyisikhombisa, njengalokho ngakuyala, ngesikhathi esinqunyiweyo senyanga ka-Abibi, ngokuba waphuma ngayo eGibithe, kungabonakali muntu phambi kwami ongaphethe lutho,Created 2 months ago
-
1 Petro 4:16
1 Petro 4:16 (HNV)
Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu ni Mkristo, basi, asione aibu, bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa kwa jina la Kristo.Created 4 months ago
-
1 Petro 4:16
1 Petro 4:16 (HNV)
Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu ni Mkristo, basi, asione aibu, bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa kwa jina la Kristo.Created 4 months ago
-
Earned a Badge — Created 500 Highlights
2012-01-01
-
Seek GOD
Zaburi 25:4-5 (HNV)
Unijulishe njia zako, ee Mwenyezi-Mungu; unifundishe nifuate unayotaka.Zaburi 25:12-14 (HNV)
Kila mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu atamfunza njia ya kufuata.Created 6 months ago
Labels: find
-
Earned a Badge — Created First [Public] Note
2011-11-17
-
Earned a Badge — Created 100 Bookmarks
2011-11-17
-
Yobu 14:7-9
Yobu 14:7-9 (HNV)
Maana mti ukikatwa lipo tumaini la kuota, waweza kuchipua tena.Created 7 months ago
Labels: soul...and he shall see his living kindness there is hope to anyone who seek god yahweh with all his heart
-
Hope to the desirer
There is life to those who seek help to God because He is not like man Job 9:32 and Job 10:4-6
Created 7 months ago
Yobu 13:28 (HNV), Yobu 14:7 (HNV), Yobu 14:8 (HNV), Yobu 14:9 (HNV)
-
Yobu 12:5
Yobu 12:5 (HNV)
Mtu anayestarehe hudharau msiba; kwake, msiba huwajia wale wanaoteleza.Created 7 months ago
-
Yobu 11:14
Yobu 11:14 (HNV)
Kama una uovu, utupilie mbali. Usikubali ubaya uwemo nyumbani mwako.Created 7 months ago
-
Yobu 9:32
Yobu 9:32 (HNV)
Mungu si mtu kama mimi niweze kumjibu, hata tuweze kwenda mahakamani pamoja.Created 7 months ago
-
Yobu 9:12
Yobu 9:12 (HNV)
Tazama! Yeye huchukua anachotaka; nani awezaye kumzuia? Nani awezaye kumwuliza: ‘Unafanya nini?’Created 7 months ago
-
Yobu 8:8
Yobu 8:8 (HNV)
Jifunze tafadhali kwa wale waliotutangulia, zingatia mambo waliyogundua hao wazee.Created 7 months ago
-
Yobu 7:21
Yobu 7:21 (HNV)
Mbona hunisamehi kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi punde nitalazwa chini kaburini, utanitafuta, lakini sitakuwapo tena!”Created 7 months ago
-
Yobu 7:20
Yobu 7:20 (HNV)
Kama nikitenda dhambi, yakudhuru nini ewe mkaguzi wa binadamu? Mbona umeniweka kuwa shabaha ya mapigo yako? Je, mimi nimekuwa mzigo kwako?Created 7 months ago
-
Yobu 7:19
Yobu 7:19 (HNV)
Utaendelea kuniangalia hata lini, bila kuniacha hata nimeze mate?Created 7 months ago
-
Yobu 7:18
Yobu 7:18 (HNV)
Wewe waja kumchunguza kila asubuhi, kila wakati wafika kumjaribu!Created 7 months ago
-
Yobu 7:17
Yobu 7:17 (HNV)
Binadamu ni nini hata umjali? Kwa nini hata unajishughulisha naye?Created 7 months ago
-
Yobu 1:21
Yobu 1:21 (HNV)
Akasema, “Uchi nilikuja duniani, uchi nitaondoka duniani; Mwenyezi-Mungu amenipa, Mwenyezi-Mungu amechukua; litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.”Created 7 months ago
-
Esta 9:19
Esta 9:19 (HNV)
Kutokana na sababu hii, Wayahudi wakaao vijijini na katika miji midogo huadhimisha siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari kuwa sikukuu ya furaha, na kupelekeana zawadi hali wale waishio katika miji mikubwa huadhimisha siku ya kumi na tano ya mwezi wa Adari kama siku ya mapumziko, wakapelekeana pia zawadi.Created 7 months ago

Ezra 7:26
Ezra 7:26 (HNV)
Mtu yeyote ambaye hatatii sheria ya Mungu wako na ya mfalme, na ahukumiwe mara moja: Kufa, kuhamishwa, kunyanganywa mali yake au kufungwa.”Created 7 months ago
-
Ezra 7:26
Ezra 7:26 (HNV)
Mtu yeyote ambaye hatatii sheria ya Mungu wako na ya mfalme, na ahukumiwe mara moja: Kufa, kuhamishwa, kunyanganywa mali yake au kufungwa.”Created 7 months ago
-
2 Wafalme 22:17
2 Wafalme 22:17 (HNV)
Kwa sababu wameniacha na kufukizia ubani miungu mingine na hivyo kunikasirisha kwa kazi zote za mikono yao, ghadhabu yangu dhidi ya Yerusalemu itawaka na haitaweza kutulizwa.Created 7 months ago
-
2 Wafalme 19:28
2 Wafalme 19:28 (HNV)
Kwa vile umefanya mipango dhidi yangu na nimeusikia ufidhuli wako, nitatia ndoana yangu puani mwako, na lijamu yangu kinywani mwako. Nitakurudisha njia ileile uliyojia.”Created 7 months ago
-
Earned a Badge — Created 100 Highlights
2011-11-03
-
Earned a Badge — Created 10 Highlights
2011-10-16
-
Earned a Badge — Created 10 Bookmarks
2011-10-16
-
Earned a Badge — Created Your First Bookmark
2011-08-14
-
Earned a Badge — Shared a Bible Reference
2011-07-07